Scholarships/sw

From Wikimania 2010 • Gdańsk, Poland • July 9-11, 2010

* ar/العربية (published)* ca/català (published)* cs/čeština (missing) * br/brezhoneg (missing) * ben/ben (published)* de/Deutsch (published)* el/Ελληνικά (published)* en/English (published)* es/español (published)* eu/euskara (missing) * fr/français (published)* hu/magyar (missing) * ia/interlingua (missing) * it/italiano (published)* ja/日本語 (published)* ko/한국어 (published)* mk/македонски (published)* nl/Nederlands (published)* pl/polski (published)* pt/português (missing) * ru/русский (published)* ro/română (published)* scn/sicilianu (published)* sq/shqip (missing) * sw/Kiswahili (published)* sv/svenska (missing) * tr/Türkçe (published)* za/Vahcuengh (missing) * zh-hans/中文(简体) (published)* zh-hant/中文(繁體) (published)

destination: Scholarships
source update: 2010-04-02 (diff since translation)

Mradi wa Skolaship wa Wikimania 2010

Wikimania 2010, Mkutano wa kimataifa wa kila mwaka wa sita, utafanywa Julai 9-11, 2010. Pahala pa mkutano ni Polish Baltic F. Chopin Philharmonic huko Gdansk, Poland. Wikimedia Foundation inapeana is offering a limited number of scholarships to pay for selected individuals' round trip travel, accommodations, and registration for Wikimania 2010.

Lengo la Mradi

  • Kufanya Wikimania 2010 kuwa mkutano wa kimataifa yenye fanaka na mazao.
  • Kusaidia miradi ya Wikimedia kwa kuhimiza shitrikisho.
  • Kufaidisha mkutano kutokana na kuhudhuria kwa kikundi ya watu mbalimbali wanaoshiriki zaidi na washiriki wapia katika msongamano wa Wikimedia.

Kusajilisha Skolaship

Kusajili kupata "skolaship" ya kukulipai safari ya kwenda na kurudi, pahala pa malazi, na usajili wa Wikimania huko Gdansk, Poland, July 9-11, 2010, tafadhali wasilisha fomu ya usajili iliyojazwa.

Anayeweza Kusajili (ni nani anayeweza kusajili kupata skolaship): Mshiriki wowote kati mradi wa Wikimedia na/ama yeyote aliyejitolea kushiriki na Wikimedia kwa uwezo wowote, kokote dunianianaweza kusajili. Washiriki katika eneo lolote lingine la elimu ya bure, programu ya bure, ushiriki na/ama ari ya kielimu anahimizwa kusajili.


Uchaguzi: All applications for scholarship are reviewed by the Kamiti ya Wikimania ya Kupitia Skolaship. Njia ya kuchaguwa watakaopewa skolaship ziliamuliwa na Kamiti ya Mradi wa Skolaship kuambatana na lengo na kitovu ya Wikimania na Wikimedia.


Tarehe ya Mwisho kusajili: Tarehe ya mwisho kusajili kupata Skolaship ya Wikimania 2010 ni mnamo Aprili 11, 2010 saa 23:59:59 UTC. Usajili hautakubaliwa baada ya tarehe hili.


Kwa maelezo zaidi kuhusu Mradi wa Skolaship ya Wikimania 2010, tafadhali angalia Kuraas ya Maswali na Majibu.